Summary from the original article

LONDON, Uingereza: LIVERPOOL iliendeleza kampeni yake ya kuwania taji la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kuichabanga Crystal Palace mabao 3-1 katika Uwanja wa Selhurst Park Jumapili. Alexis Mac Allister aliwafungia wageni bao la kwanza dakika ya 40 kabla ya Florian Wirtz kuongeza la pili dakika ya 54. Mshambuliaji Alexander Isak alifunga bao la tatu dakika ya 89, huku Palace ikipata bao la kufutia machozi kupitia mkwaju wa penalti katika muda wa nyongeza. Ushindi huo uliipandisha Liverpool hadi nafasi…
By Fatuma Bariki ·
AI key points, how left, center and right framed this story, tone by side and loaded language are part of News.gg Premium.
Upgrade this serverLONDON, Uingereza: LIVERPOOL iliendeleza kampeni yake ya kuwania taji la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kuichabanga Crystal Palace mabao 3-1 katika Uwanja wa Selhurst Park Jumapili. Alexis Mac Allister aliwafungia wageni bao la kwanza dakika ya 40 kabla ya Florian Wirtz kuongeza la pili dakika ya 54. Mshambuliaji Alexander Isak alifunga bao la tatu dakika ya 89, huku Palace ikipata bao la kufutia machozi kupitia mkwaju wa penalti katika muda wa nyongeza. Ushindi huo uliipandisha Liverpool hadi nafasi ya nne kwenye jedwali la EPL ikiwa na alama 18. Katika mechi nyingine, Brighton…
3 days ago · taifaleo.nation.co.ke · You are reading this one