Summary from the original article

MUSTAKABALI wa kocha wa Manchester United, Michael Carrick, utaamuliwa Jumatano, Novemba 11, 2026, katika kikao kitakachohudhuriwa na mmiliki wa klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe pamoja na viongozi wakuu Omar Berrada na Jason Wilcox mjini Monaco. Kibarua cha Carrick kiko hatarini baada ya United kushuka hadi nafasi ya 18 kwenye jedwali la Ligi Kuu UIngereza (EPL) kufuatia sare ya 4-4 dhidi ya Aston Villa Jumapili. Kwa mujibu wa BBC Sport, Berrada, ambaye ni Afisa Mkuu Mtendaji, na Wilcox, Mkurugenzi wa Soka,…
By Fatuma Bariki ·
AI key points, how left, center and right framed this story, tone by side and loaded language are part of News.gg Premium.
Upgrade this serverMUSTAKABALI wa kocha wa Manchester United, Michael Carrick, utaamuliwa Jumatano, Novemba 11, 2026, katika kikao kitakachohudhuriwa na mmiliki wa klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe pamoja na viongozi wakuu Omar Berrada na Jason Wilcox mjini Monaco. Kibarua cha Carrick kiko hatarini baada ya United kushuka hadi nafasi ya 18 kwenye jedwali la Ligi Kuu UIngereza (EPL) kufuatia sare ya 4-4 dhidi ya Aston Villa Jumapili. Kwa mujibu wa BBC Sport, Berrada, ambaye ni Afisa Mkuu Mtendaji, na Wilcox, Mkurugenzi wa Soka, wanatarajiwa kumshauri Ratcliffe na familia ya Glazer kumtimua kocha huyo. Hata hivyo…
Yesterday · taifaleo.nation.co.ke · You are reading this one