Summary from the original article
WAKAZI wa Nairobi na kaunti jirani watakabiliwa na mgao mkali zaidi wa maji baada ya viwango vya maji katika Bwawa la Ndakaini kushuka, na kusababisha kupunguzwa kwa uzalishaji katika viwanda viwili vikuu vya kutibu maji kwa asilimia 35. Kampuni ya Maji ya Nairobi imesema hatua hiyo imeanza mara moja kutokana na kupungua kwa maji yanayoingia […]
By Fatuma Bariki ·
AI key points, how left, center and right framed this story, tone by side and loaded language are part of News.gg Premium.
Upgrade this serverWAKAZI wa Nairobi na kaunti jirani watakabiliwa na mgao mkali zaidi wa maji baada ya viwango vya maji katika Bwawa la Ndakaini kushuka, na kusababisha kupunguzwa kwa uzalishaji katika viwanda viwili vikuu vya kutibu maji kwa asilimia 35. Kampuni ya Maji ya Nairobi imesema hatua hiyo imeanza mara moja kutokana na kupungua kwa maji yanayoingia […]
2 days ago · taifaleo.nation.co.ke · You are reading this one