Summary from the original article

SIASA za Kenya zinazidi kutawaliwa na vijembe, majina ya kejeli na mashambulizi binafsi huku viongozi wakionekana kutumia muda mwingi kushambuliana badala ya kueleza mipango yao ya kuboresha maisha ya wananchi. Mvutano huo umeongezeka kati ya Rais William Ruto na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua, huku kila mmoja akimtupia mwenzake tuhuma na majina ya kumdhalilisha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Katika ziara yake ya siku tatu eneo la Gusii, Ruto alimlaumu Gachagua kwa kuwatoza kwa vitisho fedha wafanyabiashara, magavana na wanaotaka…
By Fatuma Bariki ·
AI key points, how left, center and right framed this story, tone by side and loaded language are part of News.gg Premium.
Upgrade this serverSIASA za Kenya zinazidi kutawaliwa na vijembe, majina ya kejeli na mashambulizi binafsi huku viongozi wakionekana kutumia muda mwingi kushambuliana badala ya kueleza mipango yao ya kuboresha maisha ya wananchi. Mvutano huo umeongezeka kati ya Rais William Ruto na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua, huku kila mmoja akimtupia mwenzake tuhuma na majina ya kumdhalilisha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027. Katika ziara yake ya siku tatu eneo la Gusii, Ruto alimlaumu Gachagua kwa kuwatoza kwa vitisho fedha wafanyabiashara, magavana na wanaotaka tiketi za chama chake cha DCP ili kuwapa tiketi na hata…
9 hours ago · taifaleo.nation.co.ke · You are reading this one